Norges billigste bøker

Masomo Ya Wakristadelfia Kwa Njia Ya Posta

Om Masomo Ya Wakristadelfia Kwa Njia Ya Posta

Masomo haya ya Biblia kwa njia ya Posta, ambayo hapa yamechapishwa kuwa kitabu, yalianza yakiwa ni Kozi ya Masomo 40 ya Msingi ya Biblia, ya Jumuia ya Wakristadelfia duniani. Yakiwa yameandikwa mwanzoni kwa lugha ya Kingereza, yaliandaliwa ili yatoe ufahamu wa kutosha wa Maandiko kwa mtu, kabla hajataka kubatizwa. Baada ya kutumiwa kwa karibu miaka 25 katika Tanzania, imeonekana hayakutosha hasa katika kumwandaa muumini kwa ajili ya maisha mapya katika Kristo, katika upweke uliopo Afrika Mashariki, kwa hiyo masomo mengine 20 yaliongezwa kuwa 60. Jitihada ilifanyika ya kuyatafsiri masomo hayo 40 ya awali katika Kiswahili, lakini kutokana na tofauti za kiutamaduni kwa waliotafsiri, mafanikio hayakuwa makubwa. Tunafikiri, kutokana na uhariri na nyongeza iliyowekwa, chapisho hili litakuwa la manufaa zaidi.

Vis mer
  • Språk:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9781446674710
  • Bindende:
  • Paperback
  • Sider:
  • 247
  • Utgitt:
  • 27. januar 2015
  • Dimensjoner:
  • 229x152x13 mm.
Leveringstid: 2-4 uker
Forventet levering: 30. mars 2026

Beskrivelse av Masomo Ya Wakristadelfia Kwa Njia Ya Posta

Masomo haya ya Biblia kwa njia ya Posta, ambayo hapa yamechapishwa kuwa kitabu, yalianza yakiwa ni Kozi ya Masomo 40 ya Msingi ya Biblia, ya Jumuia ya Wakristadelfia duniani. Yakiwa yameandikwa mwanzoni kwa lugha ya Kingereza, yaliandaliwa ili yatoe ufahamu wa kutosha wa Maandiko kwa mtu, kabla hajataka kubatizwa.

Baada ya kutumiwa kwa karibu miaka 25 katika Tanzania, imeonekana hayakutosha hasa katika kumwandaa muumini kwa ajili ya maisha mapya katika Kristo, katika upweke uliopo Afrika Mashariki, kwa hiyo masomo mengine 20 yaliongezwa kuwa 60. Jitihada ilifanyika ya kuyatafsiri masomo hayo 40 ya awali katika Kiswahili, lakini kutokana na tofauti za kiutamaduni kwa waliotafsiri, mafanikio hayakuwa makubwa. Tunafikiri, kutokana na uhariri na nyongeza iliyowekwa, chapisho hili litakuwa la manufaa zaidi.

Brukervurderinger av Masomo Ya Wakristadelfia Kwa Njia Ya Posta



Finn lignende bøker
Boken Masomo Ya Wakristadelfia Kwa Njia Ya Posta finnes i følgende kategorier:

Gjør som tusenvis av andre bokelskere

Abonner på vårt nyhetsbrev og få rabatter og inspirasjon til din neste leseopplevelse.