Hatua hii ya pili imegawanyika katika sehemu tano. Maelezo haya ni sehemu ya kwanza katika mfululizo huu wa sehemu hizo tano za masomo yanayohusu Habari za Jumla za "Utukufu na Kuanguka kwa Ufalme wa Israeli." Masomo yamechaguliwa ili kwamba tuweze kujifunza kweli ambayo Yesu alifundisha ili
kwamba tupate kuwa na hamu ya kupata zaidi ukweli kuhusu Ufalme wa Mungu na jinsi hatimaye tunavyoweza kupata nafasi ndani ya Ufalme ule.
Gjør som tusenvis av andre bokelskere
Abonner på vårt nyhetsbrev og få rabatter og inspirasjon til din neste leseopplevelse.
Ved å abonnere godtar du vår personvernerklæring.Du kan når som helst melde deg av våre nyhetsbrev.