Utvidet returrett til 31. januar 2025

Kolonia Santita

- Laana YA Panthera Tigrisi

Om Kolonia Santita

'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya ¿ na kung¿oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi ¿ na duniani kwa jumla. Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda ¿ na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili ¿ na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

Vis mer
  • Språk:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9781477222959
  • Bindende:
  • Paperback
  • Sider:
  • 406
  • Utgitt:
  • 12. september 2012
  • Dimensjoner:
  • 229x152x24 mm.
  • Vekt:
  • 628 g.
  • BLACK NOVEMBER
Leveringstid: 2-4 uker
Forventet levering: 18. desember 2024

Beskrivelse av Kolonia Santita

'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya ¿ na kung¿oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi ¿ na duniani kwa jumla.
Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni
kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda ¿ na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili ¿ na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

Brukervurderinger av Kolonia Santita



Finn lignende bøker
Boken Kolonia Santita finnes i følgende kategorier:

Gjør som tusenvis av andre bokelskere

Abonner på vårt nyhetsbrev og få rabatter og inspirasjon til din neste leseopplevelse.